Advertise with us today here...

Reach your market today and expand your network and increase your profit....

Advertise with us today contact us via marketing@olais.co.tz | +255757599666

Vitenge Market

Vitenge Market
Vitenge market place offers you the best and quality vitenge just contact us today

SOWO - Online Market

SOWO - Online Market
Get new and used products online by visit our site everyday hit the link and get subscribed

Tuesday, 18 November 2014

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi


Bi harusi apewa talaka siku ya harusi.Picha niaba ya gazeti la Daily Mirror nchini Uingereza

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza wakati mpiga picha alipotaka kuwapiga picha.
Maharusi hao kutoka mji wa magharibi wa Saudia,Medinah walikubaliana kuoana licha ya kutoonana uso kwa uso,swala ambalo ni utamaduni mkubwa wa mataifa ya mashariki ya kati.
lakini wakati mwanamke huyo alipofungua kitambara alichokuwa amejifunika uso na kutabasamu katika kamera,mumewe alishtuka na kuondoka wa ghafla.
Kulingana na gazeti moja katika eneo hilo kwa jina Okaz,mwanamume huyo alianguka na kuzirai huku wageni waalikwa wakijaribu kuingilia kati ili kutatua kilichokuwa kikiendelea.
Hatahivyo Bwana harusi alisema kuwa hakuweza kumwona bi harusi kabla ya harusi yao gazeti hilo la Okaz liliripoti.
'' Si wewe msichana niliyetaka kuoa,si wewe kamwe niliyedhani '' kwa hivyo nakupa talaka''alisema bwana harusi.
Na alipompa talaka bi harusi naye alianguka na kuzirai na kuifanya harusi hiyo kuwa usiku wa majonzi.

Chanzo: BBC Swahili

Bikira, kigezo kuwa Polisi Indonesia

Soma habari kamili...

Polisi wa kike waelezwa kudhalilishwa kufanyiwa kipimo cha bikira
Serikali ya Indonesia inaelezwa kuruhusu kuwafanyia wanawake wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi kipimo cha bikira ,shirika la Human rights Watch limeeleza.
Shirika hilo uangalizi wa haki za binaadam liliwahoji Polisi wanawake na wanaotaka kujiunga na Jeshi la polisi ambao tayari wamepimwa katika miji sita ya nchini Indonesia,wawili kati yao wamefanyiwa kipimo hicho mwaka huu.
Kipimo cha bikira kimeorodheshwa kuwa moja ya matakwa ya kuingia kwenye Jeshi, tovuti ya polisi imeeleza.
Wanawake waliofanyiwa kipimo hicho wamesema walipata maumivu na kujisikia kudhalilishwa.
Askari wa kike walishapeleka malalamiko kwa ngazi za juu za jeshi la Polisi bila mafanikio.
Afisa wa juu wa Human Rights Watch,Nisha Varia amesema kipimo hicho ni unyanyasaji na kinawadhalilisha wanawake, amewataka polisi mjini Jakarta kufuta kipimo hicho na kukipiga marufuku nchi nzima.
Polisi nao wanasema kuwa hawafanyi kipimo hicho kwa sasa kwa kuwa wamepiga marufuku.
Hata hivyo hakuna ushahidi wa kutosha kuwa Jeshi la Polisi limesitisha kitendo hicho kwa kuwa katika tovuti yake eneo la kazi tangazo la tarehe 5 mwezi Novemba mwaka 2014 imeeleza kuwa wanawake wanaotaka kuwa polisi wanapaswa kujaribiwa kama wana bikira,hivyo basi wanawake wanaotaka kuwa askari wanapaswa kutunza bikira zao.Wanawake walioolewa hawapewi nafasi hiyo.
Mashuhuda wanasema kuwa jaribio la bikira hufanywa katika hospitali zinazoendeshwa na jeshi la Polisi, vidole hutumika katika kubaini kama mwanamke ni bikira au la.
Shirika la Human Rights Watch limesema kipimo hiki hufanywa na Polisi pia nchini Misri, India na Afghanistan.
Mwaka 2010 Brigedia Jenerali, Sigit Sudarmanto alieleza namna alivyotofautiana na wenzake kuhusu kipimo cha bikira kwa wanawake yeye haungi mkono.
Kisa cha kufanywa kwa kipimo hiki dhidi ya wanawake ni madai kuwa hawahitaji wanawake wasio bikira wakiwafananisha na makahaba.
Lakini swali linabaki kuwa je kuna ushahidi wa kisayansi kuwa aliye bikira hufanya kazi kwa ufanisi zaidi kuliko asiye bikira, je asiye na bikira hana adabu kuliko aliye nayo?
Sudarmanto amesema baada ya kulumbana kwa muda mrefu iliridhiwa kusitishwa kwa zoezi hilo, hata hivyo inashangaza kuona bado hali ni ileile japo ahadi ya kusitishwa ilitolewa.

Chanzo: BBC Swahili

Wednesday, 22 October 2014

NAFASI MPYA ZA AJIRA SERIKALINI {MKOA WA ARUSHA}

NAFASI MPYA ZA AJIRA SERIKALINI {MKOA WA ARUSHA}

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

PRIME MINISTER’S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENTS
ARUSHA CITY COUNCIL

All correspondences addressed to: 
CITY HALL 
Phone:

Fax: +255 27 2508073/2503494 (Director)
+255 27 2544330 (General)
+255 27 2505013 P.o Box 3013,
ARUSHA, TANZANIA
e-mail: cd@arushacity.go.tz

On reply please quote: Website:www.arushacity.go.tz

Ref. No. CD/CS.10/16/20 Date: 30th Sept. 2014
RE-ADVERTISEMENT


Job Vacancy - CHIEF EXECUTIVE
Location - ARUSHA, TANZANIA

Job Description:
The Arusha City Council Investment Company Limited is a Secular Company Under Arusha City Council Committed to expand Investment and Business related opportunities in Arusha City. Arusha City Council wish to recruit a qualified and highly experienced personnel to undertake the functions and responsibilities of the Chief Executive of the said Company for a contracts of two years newable subject to satisfactory performance and completion of the project.

Responsibilities and Tasks:
1) Consult the Director of Arusha City Council on how to expand business and Investment opportunity in Arusha City Council
2) In Consultation with the City Director propose champion as well as managing the kind of investment required to be established in the four open investment opportunity areas within the City
3) Inspects Company properties and plan for relevant maintenance
4) Plant properties development for the Company
5) Assist in developing Company building maintenance modernization policy
6) Management of Leases/Agreements for ternants and occupants 
7) Ensure that landed properties are kept in manners that fits the requirement of local authorities
8) Advises management on the disposal of properties according to the laws and accepted procedures
9) Set property development objectives
10) Ensure that all legal requirements are met, i.e. all statutory and non statutory payments are made on time, such as property taxes, land rent and insurance.
11) Develops individual target and performance standards of the Company as part of the individual performance agreement in consultation with the City Director 
12) Prepare, review targets and performance standards as part of the individual performance agreement in consultation with the City Director 
13) Prepare and supervise Estate Manager and the Manager of Arusha Meat Company for better performance.

Qualification of Successful Candidates:
• Holder of Master Degree in the following Fields:- Environmental Engineering, Architecture, Building Economics, Civil Engineering, Land Management and Valuation or its equilvalent. S/he must have computer skills and must have been registered as a Consulting Engineer/Valuer with the relevant Board.
• At least 10 years of relevant professional experience in the area of Estate and Investment Management
• Demonstrate experience in Estate Management, Planning and Economics Business Management
• Good judgement and discretion to represent Arusha City Council Investments Company Limited in a high professional manner as well as respect for Local Culture
• Solid relationship-building skills, ability to interface with external constituents
• Capacity to contact and interact openly, honestly, and professionally with individuals in a culturally appropriate manner.

Remuneration and other Benefits:
Successfully applicants will receive an attractive salary that will commensurate with qualifications and experiences together with house allowance subjects to board/City Councils approval.


Mode of Application:
If you think you meet the above qualification and experience please forward your hand written signed application letter, copies of your credentials, testimonials together with your CV clearly indicating why you think you are the right candidate for the advertised post and forward your application to:

Chairman Board of Director
Arusha City Council,
P.O. Box 3013,
Arusha.
To reach him within fourteen days (14) after the first appearance of this advert in the newspapers. Successfully applicants will be contact for interview and those who will not hear from us after 14 days after the deadline shall consider their application unsuccessful.

CITY DIRECTOR
ARUSHA
SOURCE: DAILYNEWS, 0CTOBER 22, 2014
=========== 
THE ARUSHA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (AUWSA)
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

POSITION: SEWARAGE ENGINEER 

The Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall or and sewerage services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania.
The core function of the Authority is to deliver excellent water supply and sewerage services for all categories of customers In order to attain its vision, mission and objectives, AUWSA is seeking to recruit dynamic, experienced, competent and quaIified Tanzanian's to fill the following p post within the Authority's establishment.

Appointing Authority: Management Committee.

Reports To: Technical Manager.

Required Qualifications and Experience:

The successful applicant must be/have:
A holder of Bachelor of Science Degree /Advanced Diploma in Civil/ Environmental Engineering from a recognized Higher Learning Institution. Must be registered with the Engineers Registration Board of Tanzania.
Two years working experience as an Engineer in the environmental/sewerage field.
A strong IT knowledge including AutoCAD or any other engineering application software.
Employment Terms: Three years Contract - Renewable upon satisfactorily performance.

Main Duties & Responsibilities:
Head of Section responsible for administrative issues on day-to-day basis.
Planning and implementation of effective urban sewerage operation and treatment system.
Preparation and supervision of baseline house-to-house sewerage customer survey in order to get correct sewerage data and information and making sure the information is entered in the Authority's Database.
Preparation and conducting of training programmes for sewerage staff on the use of sewer and safety equipments such as, gas detectors, safety belts, oxygen masks, and rooter worm machine, municipal Winches and ventilating machine. .
Recommending to management team sewerage issues which need corrective measures in cost effective manner in order to avoid unnecessary costs.
Ensuring that all customers who are provided with sewer services pay their bills without delays, in collaboration with the Customer Services Department.
Recommending plans for future investment in sewerage system.
Take appropriate action for illegal sewerage-cases.
Encouraging and sensitizing customers with properties close to our sewer truck mains to get connected.
To make sure that only allowable waste water is discharged to the sewerage network by analyzing the waste water frequently (particularly from industries).
Compilation of weekly, monthly, quarterly and annual sewerage operations and maintenance reports.
Managing efficiently and effectively sewerage section resources.
Ensuring maximum safety measures during sewerage operations.
Liaising with Planning and Construction Engineer on new sewerage works development and working as a team.
Performing any other duties as may be assigned by the Technical Manager.
different people and stakeholders.
Ability to work under minimum supervision.

PACKAGE:
Most competitive salary and remuneration in line with AUWSA Scheme of Service and Salary Structure will be offered to the right candidate, having relevant qualifications, required skills and experience

In addition to the qualifications mentioned, the incumbent is expected to possess the following traits:
Excellent communication skill.
High integrity and ability to adapt to changes quickly.
Capacity to work hard, under pressure and meet strict deadlines.
Ability to work under teamwork spirit, establish and maintain effective working relations with
 
MODE OF APPLICATION
If you possess and believe you meet the required qualification given above:
Please submit your application letter together with detailed curriculum vitae which includes your complete contacts details, copies of qualification certificates and enclosing two letters from referees with their contacts (mobile, box numbers, and e-mail and physical addresses).

Applications should be addressed to the undersigned so as to reach him/her not later than the deadline date 07 November 2014

MANAGING DIRECTOR,
ARUSHA URBAN WATER SUPPLY & SEWERAGE AUTHORITY
P.O.BOX 13600, ARUSHA
Tel: + 250 4163, 250 6124,
Fax: 250 4163, 254 8981
SOURCE; Mwananchi 22ND October 2014
======================


THE ARUSHA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (AUWSA)
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
POSITION; WATER NETWORK ENGINEER:
The Arusha Urban Water Supply and Sewerage Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall or and sewerage services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania.
The core function of the Authority is to deliver excellent water supply and sewerage services for all categories of customers I In order to attain its vision, mission and objectives, AUWSA is seeking to recruit dynamic, experienced, competent and quality Tanzanians to fill posts within the Authority's establishment.

Appointing Authority: Management Committee.

Reports To: Water Network Engineer.

Required Qualifications and Experience:
The successful applicant must be / have:
A holder of Bachelor of Science Degree / Advanced Diploma in Civil Environmental Engineering from a recognized Higher Learning Institution.
Fresh from Higher Learning Institution.
A strong IT knowledge including AutoCAD or any other engineering application software.
Employment Terms: Three years Contract - Renewable upon satisfactorily performance.

Main Duties & Responsibilities:
Assist the Head of Section in carrying out all designs, management, development, maintenance and rehabilitation of water network infrastructures.
Advising on maintaining of proper records of water network inventory and monitors all factors affecting the network.
Assisting to liaise with Customer Service Section in handling customer complaints relating to water supply.
Carrying out studies for water losses and recommend the corrective measures to solve the problems.
Assisting in keeping record of daily major and minor breakdowns of water distribution system and cause for prompt repair of the same.
Supervising the activity of curbing technical losses of water through leakages, breakages, system overflows etc.
Performing any other duties as may be assigned by Water Network Engineer.

PACKAGE:
Most competitive salary and remuneration in line with AUWSA Scheme of Service and Salary Structure will be offered to the right candidate, having relevant qualifications, required skills and experience

In addition to the qualifications mentioned, the incumbent is expected to possess the following traits:
Excellent communication skill.
High integrity and ability to adapt to changes quickly.
Capacity to work hard, under pressure and meet strict deadlines.
Ability to work under teamwork spirit, establish and maintain effective working relations with different people and stakeholders.
Ability to work under minimum supervision

MODE OF APPLICATION;
If you possess and believe you meet the required qualification given above:
Please submit your application letter together with detailed curriculum vitae which includes your complete contacts details, copies of qualification certificates and enclosing two letters from referees with their contacts (mobile, box numbers, and e-mail and physical addresses).

Applications should be addressed to the undersigned so as to reach him/her not later than the deadline date 07th November 2014

MANAGING DIRECTOR,

ARUSHA URBAN WATER SUPPLY & SEWERAGE AUTHORITY
P.O.BOX 13600, ARUSHA
Tel: + 250 4163, 250 6124,
Fax: 250 4163, 254 8981
SOURCE; Mwananchi 22ND October 2014
==============

Tuesday, 21 October 2014

Pata Matokeo Matokeo ya Ligi kuu ya Majuu usiku wa jana

Tazama matokeo ya Ligi kuu za majuu kama ilivyokuwa katika msimamo siku ya jana.

Pinda atangaza nia ya kugombea uraisi 2015 kimya kimya.

Mh. Mizengo Pinda akiwa katika studio za BBC- Swahili hapa
mjini Uingereza katika mahojiano na mtangazaji Salim Kikeke
(Picha na BBC - Swahili)
Mh. Mizengo K. Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC - Swahili katika studio za hapa mjini Uingereza. Mh. Pinda alitamka kwa kuficha pasipo kuweka wazi maneno ya kuthibitisha kuwa atakuwa miongoni mwa wagombea wa kiti cha uraisi wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa kama atakuwa miongoni mwa watakaokuwa katika mchakato huo na kufanikiwa kupitishwa na halmashauri kuu ya chama chake basi atakuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi kwa mwaka 2015.
Swali hili limekuwa gumu kwa Mh. Pinda kulijibu ikiwa ni hasa bado kiongozi wa serikali. Ndugu Salim Kikeke aliuliza swali hili akiwa na lengo la kutaka kujua kuwa mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefikiwa wapi watu wakiwa wanasema ya kuwa katiba hii ni ya chama kimoja yaani chama tawala?

Huku Mh. Pinda akijibu swali hili alitoa ufafanuzi mzuri ikiwa ni kwamba katiba ya tume ilipelekwa ndani ya Bunge Maalum la katiba kwa lengo la maboresho na sio kwa lengo la kuipitisha katiba.

Ni jibu zuri na tukumbuke ya kuwa ndio kazi nchi iliyowatuma wabunge hawa kwenda kuifanya na ndio maana kuna kazi mamia zimekwama ikiwa ni lengo la kuhakikisha ya kuwa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunakuwa na katiba bora na yenye maslahi kwa taifa letu la leo na kesho na kwa vizazi vyote.

Ingia link hii hapa ujionee na kusikia kipande kidogo cha Mh. Pinda kutangaza nia akiwa katika mahojiano na Ndugu. Kikeke katika studio za BBC - Swahili hapa mjini Uingereza.

https://www.facebook.com/video.php?v=509239709213496&set=vb.174247279379409&type=2&theater

Mwandishi wako Olais K. Raphael | Speak Out With Olais - Media

Maajabu ya Ndege kugeuka mtu Nigeria

Maajabu ya Ndege kugeuka mtu Nigeria


Mmoja wa waliomuangushia kichapo mwanamke huyo hadi akafariki

Kisa cha kushangaza kilitokea nchini Nigeria ambapo mwanamke mmoja alipewa kichapo cha mbwa hadi akafariki kwa madai ya yeye kuwa mchawi.
Mwanamke huyo inasemekana alikuwa Ndege iliyokuwa inaruka mtini kabla ya kugeuka na kuwa binadamu.
Umati wa watu ulikusanyika eneo alilokuwa mwanamke huyo baahi wakinasa matukio kwenye simu zao za mkononi. Polisi wawili walilazimika kurusha mabomu ya petroli kuwatawanya watu hao na kuwazuia kunasa picha za mwanamke huyo aliyekuwa anachapwa sana.
Kwa mujibu wa walioshuhudia, mmoja alisema kuwa mwanamke huyo dakika chache zilizopita alikuwa Ndege mtini kabla ya kugeuka na kuwa mwanamke.
Ndege huyo alikuwa anazunguka mti mjini Oshodi , kisha akagonga mlingoti wa stima kabla ya kuanguka ardhini ambapo aligeuka na kuwa mwanamke.
Hii ni kwa mujibu wa wakazi wa mjini Oshodi wanaodai kuwa mwanamke huyo alikuwa mchawi.
'Kitu cha kushangaza'
''Ni kitu cha kushangaza lakini ni cha kweli,'' alisema bwana Sobowale.
"tulipozungumza na mwanamke huyo alidai kuwa na nguvu za kiganga, na kwamba alikuwa amewaua watu kadhaa. Aliongeza kuwa alikuwa anarejea kwa mumewe anayeishi katika eneo la Mushin kabla ya tyukio hilo. Baadhi ya watu walianza kumpiga picha. ''
Video ya umati huo ukimtandika mwanamke huyo imeenea kama moto msituni na kutazamwa na maelfu ya watu kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube.
Mwanamke huyo alikuwa uchi wa mnyama huku ngozi yake ikiwa inatoka baada ya kuchomwa.
Banke Idowu ni mmoja wa watu walionasa video ya mwanamke huyo akiwa anachapwa na umati na kwamba alikuwa amearifiwa na wenzake kuhusu mwanamke huyo alivyobadilika.
Aliambia BBC kuwa "sijawahi kuona jambo kama hili maishani mwangu,lakini nimesikia na kuona tu kwenye filamu kwa hivyo waliponiambia kuwa limetokea , mimi nimeamini. ''
Alisema angedhubutu kumuokoa mwanamke huyo umati huo ungemgeukia na yeye.
Polisi hawajuzungumzia tukio hilo, hususan kabla ya umati huo kukusanyika na kuanza kumchapa mwanamke huyo.
Alifariki mda mfupi baadaye huku mwili wake ukipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali kuu.

Chanzo; BBC - News

Friday, 17 October 2014

Third Ebola Vaccine Gets Cash Infusion From U.S.

Third Ebola Vaccine Gets Cash Infusion From U.S.

Federal health officials are giving a small biotech company nearly $6 million to speed up development of another vaccine against Ebola, the third in a pipeline of vaccines to fight the virus.
Baltimore-based Profectus BioSciences Inc has been working on the vaccine, made using another virus called vesicular stomatitis virus. The virus is genetically engineered to carry a piece of the Ebola virus to help stimulate the immune system. “The company will manufacture vaccine for use in animal safety studies and future clinical trials and conduct animal studies to test safety. The contract can be extended to a total of 13 months and $8.6 million,” an office within the Health and Human Services Department said in a statement.
The National Institutes of Health is helping with Phase 1 clinical trials — meant to show a vaccine is safe — for an Ebola vaccine developed by GlaxoSmithKline and one developed by the Public Health Agency of Canada and licensed to NewLink Genetics Corp. It’ll be months before any vaccine would be available, and even then it will be a small amount, probably used to protect health care workers. But experts say it’s a vital first step to getting doctors, nurses and technicians to even come and help fight the outbreak in West Africa. Health workers are among those at highest risk of getting infected.

Reported by nbcnews

Monday, 13 October 2014

Gov. Malloy Signs Order Declaring Public Health Emergency Regarding Ebola

Gov. Malloy Signs 

Order Declaring P

ublic Health 

Emergency Regarding Ebola


Ebola Outbreak Impacts Connecticut Families




Tuesday, Oct. 7, Gov. Dannel Malloy signed 
an order that gives the Commissioner of the 
Department of Public Health the ability to 
effectively quarantine an individual or a 
group of individuals who may have been 
exposed to or infected with the Ebola virus.
The order is not being executed because a 
specific case has been identified, but rather
 as a precautionary and preparatory measure
 in the event that the state has either a 
confirmed infection or has confirmed that
 someone at risk of developing the infection 
is residing in the state.
“We are taking this action today to ensure that 
we are prepared, in advance, to deal with any 
identified cases in which someone has been 
exposed to the virus or, worst case, infected,”
said Governor Malloy.  “Our state’s hospitals 
have been preparing for it, and public health 
officials from the state are working around 
the clock to monitor the situation.  Right now, 
we have no reason to think that anyone in the
 state is infected or at risk of infection.  
But it is essential to be prepared and we 
need to have the authorities in place that will 
allow us to move quickly to protect public health, 
if and when that becomes necessary.  Signing 
this order will allow us to do that.”
By signing the order, the Governor is declaring
 a public health emergency, which gives the 
Commissioner of DPH the authority to quarantine
 and isolate individuals whom the commissioner 
reasonably believes has been exposed to the 
Ebola virus.  Without the declaration, there is no
 statewide ability to isolate or quarantine – instead, 
the authority rests with each individual local public
 health director.
Sen. Chris Murphy (D-Conn.) also released a 
statement encouraging the House Committee
 on Appropriations, the Senate Armed Services 
Committee and the House Armed Services 
Committee to approve the White House’s 
request for $1 billion in funding to deal with 
the growing Ebola crisis.
“One thing we know about stopping

pandemics is that time is of the essence.

Ebola has taken thousands of lives in

West Africa and decimated already

weak public health systems in these

countries; without immediate help

and resources, this epidemic will

continue to spread. This is a global

threat, and the United States must

lead the fight against it. Fear of

contagion has led some to call for

travel restrictions and further isolation

of these countries, but withdrawal is

not an option. We know that right now,

travel restrictions won’t stop the spread

of this disease, and may actually

exacerbate the problems these

countries face by preventing aid

from reaching them. The

whole-of-government plan outlined

by President Obama—marshalling

our military, health care, diplomatic,

and economic resources to fight this

epidemic—is exactly the right use of

American power, and Congress should

approve it without delay. Oversight by

congressional defense committees

must not hinder U.S. leadership in the

fight against this public health nightmare.”

Report by http://foxct.com/ 

Somo la uchumi Wiki hii... Uchumi wa kiwango cha chini

Uchumi wa kiwango cha chini

Leo katika uchumi tunakuangazia uchumi wa kiwango cha chini kama tulivyoishia wiki lililopita endelea kutufuatilia masomo haya kupitia blogu yetu ya Speak Out With Olais upate kuelewa mambo mbali mbali ya kimaendeleo na nafasi uliyonayo katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika chi yako....

Karibu ujisomee hapo chini....

Weka poa katika ukurasa wetu wa Facebook leo na uzidi kupata masomo mbalimbali kuhusu maisha ya kijamii kwa ujumla Ingia kiunganishi hiki hapa sasa www.facebook.com/speakoutwitholais

Uchumi wa kiwango cha chini hutazama mwingiliano kupitia masoko binafsi, huku kukiwa na uhaba na uthibiti wa serikali. Soko linaweza kuwa la bidhaa, kama vile mahindi mabichi, au huduma za kipengele fulani za uzalishaji, kwa mfano upangaji wa matofali. Nadharia hii huzingatia jumla ya kiwango kinachohitajika na wanunuzi na kiwango kinachohitajika na wanunuzi na kiwango kinachotolewa na wauzaji kwa kila bei iwezekanayo kwa kitu kimoja. Inaunganisha mambo haya pamoja ili kueleza vile soko linaweza kufikia usawazishaji kulingana na bei na kiwango au kukabiliana na mabadiliko ya soko baada ya muda.
Huu huitwa kwa kawaida uchambuzi wa ugavi na mahitaji. Miundo ya soko, kama vile ushindani kamilifu na umiliki, huchunguzwa kwa mtazamo wa athari kwa tabia na ufanisi wa kiuchumi. Uchambuzi wa mabadiliko katika soko moja huendelea kutoka kwa fikira ya urahisi kuwa mahusiano ya tabia katika masoko hubaki bila kubadilika, yaani, uchambuzi wa sehemu ya usawazishaji. Nadharia ya usawazishaji wa jumla inaruhusu mabadiliko katika masoko tofauti na ujumla katika masoko yote, zikiwemo harakati zao na miingiliano yao kuelekea msawazo.|Nadharia ya usawazishaji wa jumla inaruhusu mabadiliko katika masoko tofauti na ujumla katika masoko yote, zikiwemo harakati zao na miingiliano yao kuelekea msawazo.

Masoko

Katika uchumi wa hali ya chini, uzalishaji ni ubadilishaji wa pembejeo kuwa mazao. Huu ni mchakato wa kiuchumi unaotumia rasilimali kutengeneza bidhaa ambayo inafaa kubadilishwa. Michakato hii inaweza kuwa pamoja na utengenezaji, uwekaji kwa bohari, usafirishaji kwa meli, na kufungasha. Baadhi ya wanauchumi hueleza uzalishaji kwa upana kuwa shughuli zote za kiuchumi ila tu matumizi. Wao huona kila shughuli ya uchumi ila ununuzi wa mwisho kama aina ya uzalishaji. Uzalishaji ni utaratibu, na kwa hivyo hutokea katika wakati na mahali. Kwa sababu ni dhana ya kufuatana, uzalishaji hupimwa kama “kiwango cha mazao kwa kipindi cha muda".
Kuna vipengele vitatu katika michakato ya uzalishaji, vikiwemo kiwango cha bidhaa iliyozalishwa, aina ya bidhaa iliyotengenezwa na usambazaji wa bidhaa iliyozalishwa kwa mithili ya wakati na mahali. Gharama ya fursa hutoa pendekezo kuwa kwa kila chaguo, bei ya kweli ya kiuchumi ni fursa bora zaidi inayofuata. Uchaguzi ni lazima ufanywe baina ya matendo mawili yanayotamanika lakini ambayo hayawezi kutekelezwa yote kwa pamoja. Imeelezwa kuwa inayoeleza “uhusiano wa kimsingi baina ya uhaba na chaguo.". Wazo la gharama ya fursa huwa na jukumu muhimu katika kuhakikisha kuwa rasilimali hutumika kwa ufanisi.
Kwa hivyo, gharama ya fursa haihusu tu gharama za kihazina au kifedha tu: gharama halisi ya zao la kutotwaliwa, wakati uliopotezwa, radhi au faida yoyote nyingine ya matumizi inapaswa kuzingatiwa.
Pembejeo na rasilimali zinazotumiwa katika uzalishaji huitwa vipengele vya uzalishaji. Pembejeo zinazoweza kutumika huwa kwa kawaida zimewekwa katika makundi sita. Vipengele hivi ni malighafi, mashine, huduma za kazi, vifaa vya mtaji, ardhi na kampuni. Kwa muda mfupi, kinyume na muda mrefu, kwa uchache kimoja kati ya vipengele hivi vya uzalishaji huwa hakibadiliki. Mifano ni pamoja na vifaa, nafasi ya viwanda inayofaa, na wafanya kazi muhimu.
Kipengele kinachobadilika katika uzalishaji ni kile ambacho kiwango cha matumizi yake kinaweza kubadilishwa kwa urahisi. Mifano ni pamoja na matumizi ya nguvu za umeme, huduma za usafirishaji, na nyingi za pembejeo za malighafi. Katika hali ya “muda mrefu”, vipengele hivi vyote vya uzalishaji vinaweza kuratibishwa na wasimamizi. Katika hali ya muda mfupi, “kadiri ya utendakazi” ya kampuni huamua idadi ya juu zaidi cha mazao ambao yanaweza kuzalishwa, lakini katika hali ya muda mrefu, hakuna mpaka wa idadi. Mabadiliko ya jail ya muda mrefu na muda mfupi huwa na nafasi muhimu katika miundo ya kiuchumi.
Ufanisi wa kiuchumi hueleza ni vipi mfumo unaweza kuzalisha mazao ya kiwango cha juu zaidi yanayohitajika kwa kutumia utaratibu fulani wa pembejeo na teknolojia iliyoko. Ufanisi huboreshwa ikiwa mazao mengi yanazaliswa pasi na kubadili pembejeo, au kwa usemi mwingine, kiwango cha “msuguano” au “upotevu” kinapunguzwa. Wanauchumi hutafuta ufanisi wa Pareto, ambao hufikiwa pale mabadiliko hayawezi kumfaidi mtu bila kumdhuru mtu mwingine.
Ufanisi wa kiuchumi hutumika kuashiria idadi ya dhana ambazo zinahusiana. Mfumo unaweza kusemwa kuwa na ufanisi wa kiuchumi iwapo: hakuna atakayefaidika bila kumdhuru mwingine, mazao mengi zaidi hayawezi kupatikana bila kuongeza kiwango cha pembejeo, na uzalishaji huhakikisha gharama ya chini zaidi iwezekanavyo kwa kitengo. Fafanuzi hizi za ufanisi hazina maana inayofanana barabara. Hata hivyo, zimezungukwa zote na dhana kuwa hakuna kitu zaidi kinachoweza kupatikana kwa kutumia rasilimali zilizoko.

Umaalumu

Umaalumu huchukuliwa kuwa kipengele muhimu kwa ufanisi wa kiuchumi kwa sababu watu au nchi tofauti huwa na manufaa linganifu. Huku nchi moja inaweza kuwa na manufaa kamili katika sehemu zote juu ya nchi zingine, inaweza hata hivyo kuwa na umaalumu katika sehemu ambayo kwa kiwango fulani ina manufaa linganifu, na hivyo kufaidikika kwa kufanya biashara na nchi ambazo hazina manufaa kamili. Kwa mfano, nchi inaweza kuwa na umaalumu katika uzalishaji wa bidhaa za kiteknolojia za hali ya juu, kama vile nchi zilizostawi hufanya, na kufanya biashara na mataifa yanayostawi kwa bidhaa zinazozalishwa katika viwanda, ambapo wafanyakazi hupatikana kwa bei rahisi na kwa wingi.

Kwa mujibu wa nadharia, katika njia hii bidhaa jumla na utumizi zaidi vinaweza kupatikana kuliko ikiwa nchi zinazalisha bidhaa zao zenyewe za kiwango cha juu na zile za kiwango cha chini. Nadharia ya manufaa linganifu huwa san asana ndiyo kigezo cha imani ya mwanauchumi wa kawaida katika faida ya biashara huru. Dhana hii huhusisha watu binafsi, mashamba, watengenezaji, watoaji wa huduma, na chumi. Baina kila mojawapo ya mifumo hii ya uzalishaji, kuna uwezekano wa kuwa na ugavi wa ajira unaohusiana ambapo kila mfanyakazi huwa na kazi tofauti au hufanya kazi maalumu kama sehemu ya juhudi za uzalishaji, au kwa uhusiano aina tofauti za vifaa vya mtaji na matumizi tofauti ya ardhi.
Kitabu cha Wealth of Nations (1776) cha Adam Smith huzungumzia faida za ugavi wa ajira. Smith alinena kuwa mtu anafaa kuwekeza rasilimali, kwa mfano, ardhi au kazi, ili kuchuma mapato ya juu yawezekanayo kutokana na uwekezaji huo. Hivyo, matumizi yote ya rasilimali yanafaa kuzalisha kiwango sawa cha mapato (ambacho kimeratibishwa na athari za kila biashara). La sivyo ubadilishaji hutokea. Wazo hili, aliandika George Stigler, ndilo shauri kuu la dhana ya kiuchumi, na kwa sasa huitwa nadharia ya pembezoni ya uzalishaji ya ugavi wa mapato. Mwanauchumi wa Kifaransa Turgot alikuwa amelizungumzia swala hilo hilo mnamo 1766.
Katika maneno ya kawaida zaidi, kuna nadharia kuwa motisha za soko, ikiwemo bei ya mazao na pembejeo za uzalishaji, huchagua mgawo wa vipengele vya uzalishaji kwa manufaa linganifu , yaani, ili kwamba pembejeo za bei ya chini (kwa kiwango fulani) zinatumika ili kumudu chini gharama ya fursa ya aina fulani ya mazao. Katika mchakato huu, jumla ya mazao huongezeka kama matokeo ya kutopanga au kwa kukusudia. Umaalumu kama huo wa uzalishaji hubuni fursa kwa faida kutoka kwa biashara ambapo wenye rasilimali hufaidika kwa biashara kutokana na uuzaji wa aina moja ya mazao kwa bidhaa zingine, zilizo na thamani kubwa zaidi. Kipimo cha faida kutokana na biashara ni ongezeko la mazao (rasmi, jumla ya ongezeko la mabaki ya mtumiaji na faida za mzalishaji) kutoka kwa umaalumu wa uzalishaji na biashara inayofuatia.

Ugavi na mahitaji


alt = A depicting Quantity graph ya X-axis na Price juu ya Y-axis
Nadharia ya mahitaji na ugavi ni kanuni andalizi ya kueleza bei na viwango vya bidhaa ambavyo vimeuzwa na mabadiliko yanayofuatia katika uchumi wa soko. Katika nadharia ya uchumi wa kiwango cha chini, huashiria uamuzi wa bei na mazao katika soko lililo na ushindani kamili. Hii imekuwa ni kigezo muhimu kwa uundaji wa mifumo mingine ya masoko na kwa mielekeo mingine ya kinadharia.
Kwa soko fulani ya bidhaa, mahitaji huonyesha kiwango ambacho wanunuzi wanaotazamiwa watakuwa tayari kununua kwa kila kitengo cha bidhaa. Mahitaji mara nyingi huonyeshwa kwa kutumia jedwali au mchoro unaohusisha bei na kiwango kinachohitajika (tazama mchoro ulio katika kijisanduku). Nadharia ya mahitaji hueleza wanunuzi wa kibinafsi kama ambao huchagua kwa kufikiria kiwango ambacho kinatamanika cha kila bidhaa, kulingana na mapato, bei, mapendeleo, na kadhalika. Maneno yanayotumika kuelezea hali hii ni ‘utumiaji uliozuiwa wa hali ya juu’ (huku mapato yakiwa ndiyo kizuizi kwa mahitaji). Hapa, utumiaji huashiria (kwa makisio) mapendeleo ya watumiaji wa kibinafsi. Utumiaji na mapato hutumiwa basi kubuni mali ya kukisia kuhusu athari ya mabadiliko ya bei kwa kiwango kinachohitajika.
Sheria ya mahitaji husema kuwa, kwa ujumla, bei na kiwango kinachohitajika katika soko fulani huhusiana kwa kinyume. Yaani, ikiwa bei ya bidhaa ni ya juu, basi watu wachache zaidi huwa na uwezo au utashi wa kuinunua (ikiwa vitu vingine havibadiliki). Jinsi bei ya bidhaa inavyoongezeka, ndivyo uwezo wa kununua hupungua (matokeo ya mapato) na watumiaji huelekea katika bidhaa zenye bei ya chini zaidi (matokeo ya ubadala). Vipengele vingine vinaweza pia kuathiri mahitaji; kwa mfano kuongezeka kwa mapato kutasogeza mchirizo wa mahitaji kuelekea upande wa nje kulingana na chanzo, ilivyo katika mchoro.
Ugavi ni uhusiano baina ya bei ya bidhaa ya kiwango kilichopo kwa kuuza kutoka kwa wasambazaji (kama vile wazalishaji) katika bei hiyo. Ugavi mara nyingi huelezwa kwa kutumia jedwali au mchoro unaohusisha bei na kiwango kinachosambazwa. Wazalishaji wanakisiwa kuwa wanaotaka kuzalisha faida ya kiwango cha juu zaidi, kumaanisha wanajaribu kuzalisha kiwango cha bidhaa ambacho kitawaletea faida ya juu zaidi. Ugavi kwa kawaida huashiriwa kama uhusiano wa moja kwa moja baina ya bei na kiwango kilichosambazwa (ikiwa vitu vingine havibadiliki).
Hivi ni kusema kuwa, ikiwa bei ambayo bidhaa inaweza kuuzwa ni ya juu, basi wengi wa wazalishaji wataisambaza. Bei hii ya juu zaidi hufaidisha kuongezeka kwa uzalishaji. Katika bei iliyo chini ya msawazo, kuna uhaba wa kiwango kinachosambazwa ikilinganishwa na kiwango kinachohitajika. Hii inasogeza bei chini. Muundo wa ugavi na mahitaji hutabiri kuwa kwa kila mchirizo wa ugavi na mahitaji, bei na kiwango vitaimarika kwa bei ambayo itafanya kiwango kinachosambazwa kuwa sawa na kiwango kinachohitajika. Hii inasogeza bei chini. [[]]Muundo wa ugavi na mahitaji hutabiri kuwa kwa kila mchirizo wa ugavi na mahitaji, bei na kiwango vitaimarika kwa bei ambayo itafanya kiwango kinachosambazwa kuwa sawa na kiwango kinachohitajika. Hii ni katika mkingamo wa michirizo miwili katika mchoro ulio hapa juu, msawazo wa soko.
Kwa kiwango fulani cha bidhaa, mahali halisi pa bei katika mchirizo wa mahitaji huonyesha thamani, au utumiaji wa pembezoni kwa watumiaji kwa kitengo hicho cha cha mazao. Inapima bei ambayo mtumiaji anaweza kuwa tayari kulingana na kitengo cha bidhaa. Mahali halisi pa bei katika mchirizo wa ugavi hupima gharama ya pembezoni, ongezeko la gharama ya jumla kwa msambazaji kulingana na kitengo cha bidhaa. Bei katika msawazo huamuliwa na ugavi na mahitaji. Katika soko lililo na ushindani halisi, ugavi na mahitaji hulinganisha gharama na thamani katika msawazo.|Katika soko lililo na ushindani halisi, ugavi na mahitaji hulinganisha gharama na thamani katika msawazo.
Mahitaji na ugavi vinaweza pia kutumika kulinganisha usambazaji wa mapato kwa vipengele vya uzalishaji, vikiwemo kazi na mtaji, kupitia masoko husika. Katika soko la wafanyakazi, kwa mfano, idadi ya wafanyakazi walioajiriwa na bei ya kuwalipa (kiwango cha marupurupu) huonyeshwa kama yaliyowekwa na mahitaji ya kupata wafanyakazi (mahitaji ya makampuni ya biashara na kadhalika kwa uzalishaji) na utoaji wa ufanyakazi (kutokwa kwa wafanyakazi).
Mahitaji na ugavi hutumika kueleza tabia ya soko lililo na ushindani kamili. Mahitaji na ugavi vinaweza kujumuishwa ili kueleza vigezo vinavyobadilika katika uchumi woue, kwa mfano, kiwango cha mazao yote na hali ya kawaida ya bei, vinavyotafitiwa katika somo la uchumi wa kiwango cha juu.
Katika uchambuzi wa ugavi na mahitaji, bei ya bidhaa huratibu viwango vya uzalishaji na utumiaji. Bei na kiwango vimeelezwa kama jinsi zinazoonekana zaidi moja kwa moja katika bidhaa iliyozalishwa kwa soko.|Bei na kiwango vimeelezwa kama jinsi zinazoonekana zaidi moja kwa moja katika bidhaa iliyozalishwa kwa soko. Ugavi, mahitaji na msawazo wa soko ni vigezo vya kinadharia vinavyounganisha bei na kiwango. Lakini kufuatilia athari za vipengele vinavyotabiriwa kugeuza ugavi na mahitaji – na kupitia kwao, bei na kiwango – ni zoezi la kawaida katika masomo tendaji ya uchumi wa kiwango cha chini na uchumi wa kiwango cha juu. Nadharia ya uchumi inaweza kubainisha ni katika mazingira yapi bei huwa kifaa mwafaka cha mawasiliano cha kuratibu kiwango. Utumiaji katika hali halisi duniani unaweza kujaribu kupima ni kwa kiwango kipi vigezo vinavyobadilika na vinavyoongeza ugavi na mahitaji hubadilisha bei na kiwango.
Upembezoni ni matumizi ya dhana za pembezoni katika somo la kiuchumi. Dhana za pembezoni huhusishwa na badiliko fulani katika kiwango kilichotumika cha bidhaa au huduma, na wala si wazo la umuhimu unaopita kiasi wa hiyo aina ya bidhaa au huduma, au wa ujumla wa aina yoyote ile. Dhana kuu ya upembezoni halisi ni ile ya utumiaji wa pembezoni, lakini wasomi wa dhana hii waliofuata mwongozo wa Alfred Marshall walizidi kutegemea sana dhana ya uzalishaji wa unaoonekana wa pembezoni katika maelezo yao ya bei; na mapokeo ya urasimimpya ambao yalitokana na upembezoni wa Uingereza yaliasi dhana ya utumiaji na kuyapa mabadiliko ya viwango vya pembezoni umuhimu zaidi katika uchambuzi wao.

Kuanguka kwa soko


alt = A smokestack ikitoa moshi
Maneno “kuanguka kwa soko” hujumuisha matatizo kadha wa kadha ambayo hudhoofisha fikira za kawaida za kiuchumi. Ingawa wanauchumi huorodhesha kuanguka kwa soko katika makundi tofauti, makundi yafuatayo hupatikana kutokana na nakala kuu.
Makundi asili yanayotawala shughuli za soko, au dhana zinazoambatana za kundi tawala “tendaji” au “la ustadi”, huhusisha ulegevu wa ushindani katika kuthibiti wazalishaji. Tatizo hili huelezwa kama hali ambapo ikiwa bidhaa itaendelea kuzalishwa zaidi, basi mapato yanakuwa ya kiwango cha juu. Hii humaanishwa kuwa hali hii humfaidi tu mzalishaji mmoja.
Kutolingana kwa habari hutokea pale kikundi kimoja kina maelezo zaidi au bora zaidi kuliko kingine. Kuwepo kwa kutolingana kwa habari huzua matatizo kama shida za kimaadili, na uteuzi mbaya, ambayo hutafitiwa katika nadharia ya mkataba. Uchumi wa habari hufungamana na maswala mengi, ambayo ni pamoja na fedha, bima na sheria ya mkataba, na maamuzi chini ya hali za hatari na ukosefu wa uhakika.
Masoko yasiyokamilika ni jina ambalo hutumika katika hali ambapo wanunuzi na wauzi hawana habari ya kutosha kuhusu hali ya mwingine ilikuweza kuweka bei ya bidhaa au kutoa huduma ipasavyo. Huku kikitokana na makala ya George Akerlof ya Market for Lemons, kiolezo cha kutoa mfano ni kile cha soko yenye hila ya magari yaliyotumika. Wateja wasiokuwa na uwezo wa kujua iwapo wananunua “limau” watasukuma bei ya wastani chini zaidi kuliko ile bei inayostahili kwa ya gari nzuri iliyotumika. Kwa njia hii, bei inaweza kutoonyesha thamani ya kweli.
Bidhaa za umma ni bidhaa ambazo zina uhaba katika soko la kawaida. Jinsi za kutambua hali hii ni kuwa watu wanaweza kutumia bidhaa hizi pasi na kuzilipia na kuwa zaidi ya mtu mmoja anaweza kutumia bidhaa hii kwa wakati mmoja.
Vipengele vya nje huzuka pale ambapo kuna gharama au faida za juu za kijamii kutoka kwa uzalishaji au utumiaji ambavyo havidhihiriki katika bei za soko. Kwa mfano, uchafuzi wa hewa unaweza kuzua kipengele cha nje kisichofaa, na elimu inaweza kuzua kipengele cha nje kilicho na manufaa (kupungua kwa uhalifu, na kadhalika.). Serikali mara nyingi hulipisha kodi kwa na kuweka vizuizi kwa bidhaa zilizo na vepengele vya nje visivyofaa katika jitihada za kurekebisha upotovu wa bei unaosababishwa na vipengel hivi vya nje. Nadharia ya kimsingi ya mahitaji-na-ugavi hutabiri msawazo lakini si kasi ya urekebishaji wa mabadiliko ya msawazo kutokana na mabadiliko katika mahitaji na ugavi.
Katika sehemu nyingi, aina fulani ya utobadilikaji wa bei hukubalika ili kueleza sababu ya viwango, na wala si bei, na kurekebisha kwa muda mfupi mabadiliko katika upande wa mahitaji au ule wa ugavi. Hii hujumuisha uchambuzi wa kawaida wa maisha ya biashara katika somo la uchumi wa kiwango cha juu. Uchambuzi mara nyingi huhusisha sababu za kutobadilika huku kwa bei na athari zake katika kufikia msawazo unaokisiwa kwa muda mrefu. Mifano ya kutobadilika kwa bei katika masoko fulani ni pamoja na viwango vya marupurupu katika soko la ajira na bei zilizowekwa katika masoko ambayo hayana ushindani kamili.
Ukosefu wa kuimarika kwa uchumi wa kiwango cha juu, unaozungumziwa hapa chini, ni chanzo muhimu cha kuanguka kwa soko, ambapo kupotea kwa uthabiti wa biashara kwa ujumla au mshtuko wan je unaweza kusitisha uzalishaji na usambazaji, na hivyo kudhoofisha masoko ambayo yalikuwa yameimarika hapo awali.

Baadhi ya masomo yaliyochanganuliwa ya kiuchumi hushughulika na kuanguka kwa masoko kuliko mengine. Uchumi wa sekta ya umma ni mfano mmoja, kwani iwapo masoko huanguka, basi aina fulani ya uthibiti au mpango wa serikali ndilo jibu. Nyingi za chumi za kimazingira huhusisha vipengele vya nje au “mabaya ya umma".
Aina za sera hujumuisha vithibiti ambavyo huonyesha uchambuzi wa gharama-faida au ufumbuzi wa masoko ambao hubadili motisha, kama vile ada za uchafuzi wa mazingira au udhihirishaji upya wa haki za kumiliki mali.

Makampuni


alt = watu wawili kukaa saa kompyuta wachunguzi na taarifa ya fedha
Mojawapo ya fikira kuhusu masoko yaliyo na ushindani kamili ni kuwa kunao wazalishaji wengi, hamna baina yao anayeweza kushawishi mabadiliko ya bei wala kufanya kazi pasi na kuzingatia masharti ya soko. Hata hivyo, katika hali halisi, watu hawafanyi biashara tu kwa soko, huwa wanafanya kazi na kuzalisha katika makampuni. Aina za wazi kabisa za makampuni ni mashirika, ubia na amana. Kwa mujibu wa Ronald Coase, watu huanza kupanga uzalishaji wao katika makampuni wakati gharama za kufanya biashara huwa za chini kuliko wakati wafanyapo shughuli hizi sokoni. Makampuni hujumuisha kazi na mtaji, na zinaweza kupata faida nyingi zaidi za upanuzi ( wakati kuzalisha vitu viwili zaidi ni nafuu zaidi kuliko kuzalisha kitu kimoja) kuliko kufanya biashara ya kitu kimoja katika soko.
Uchumi wa ajira hutafuta kuelewa utendakazi wa soko na mienendo ya ajira. Masoko ya ajira hufanya kazi kupitia kwa mwingiliano wa wafanyakazi na waajiri. Uchumi wa ajira huangalia watoaji wa huduma za kazi (wafanyakazi), wanaohitaji huduma za kazi (waajiri), na juhudi za kuelewa mifumo inayotokea ya marupurupu na mapato mengine kutokana na kazi na ya ajira na ukosefu wa ajira. Matumizi halisi ni pamoja na kusaidia katika ubuni wa utumizi kamili wa sera.
Mpagilio wa viwanda hutafiti tabia za mikakati ya makampuni, miundo ya soko na maingiliano yao. Miundo ya kawaida ya masoko iliyotafitiwa ni pamoja na ushindani kamili, ushindani ulio na kundi moja lililo na sehemu kubwa ya shughuli za sokp, na aina nyingi ya makundi kadhaa yanayomiliki sehemu kubwa ya soko, na kundi moja linalomiliki sehemu kubwa ya soko.
Uchumi wa kifedha, huitwao mara nyingi fedha, hushughulika na ugavi wa rasilimali za kifedha katika mazingira ambayo hayana uhakika (au yaliyo na hatari fulani). Kwa hivyo, zingatio lake ni katika utendakazi wa masoko ya kifedha, uwekaji wa gharama katika vifaa vya kiuchumi, na miundo ya kifedha ya makampuni.
Uchumi wa usimamizi hulinganisha uchambuzi wa uchumi wa kiwango cha chini na maamuzi maalumu katika makampuni ya biashara au vitengo vya usimamizi. Uchumi huu hutegemea sana sana na mbinu za kujumuisha wingi kama vile utafiti wa utendakazi na utaratibishaji na kutoka kwa mbinu za takwimu kama vile uchambuzi wa kuridi nyuma katika hali ya ukosefu wa uhakika na habari kamilifu. Hoja ya kuunganisha ni jaribio la kuimarisha ufanisi wa maamuzi ya kibiashara, ikiwemo kupunguza iwezekanavyo kwa bei ya kitengo na kuongeza iwezekanavyo kwa faida, kulingana na malengo ya kampuni na vikwazo vinavyotokana na teknolojia na hali ya soko.

Sekta ya umma

Fedha za umma ni sehemu ya uchumi ambayo hushughulika na ubuni wa bajeti ya mapato na matumizi ya kitengo cha sekta ya umma, kwa kawaida serikali. Mada hii hushughulikia maswala kama vile malipo ya ushuru (ni nani hasa analipa ushuru fulani), uchambuzi wa gharama-faida wa mipango ya serikali, athari juu ya ufanisi wa kiuchumi na ugavi wa mapato katika aina tofauti za matumizi na ushuru, na siasa za kifedha. Jambo hili la mwisho, ambalo ni kipengele cha nadharia ya chaguo ya umma, hubuni tabia ya sekta ya umma kama mfano wa uchumi wa kiwango cha chini, unaohusisha maingiliano ya wapiga kura wanaojali maslahi yao wenyewe, wanasiasa, na wafanyakazi wa serikali au mashirika mengine.
Wingi wa uchumi ni wa manufaa, kwani hutafuta kueleza na kutabiri matukio ya kiuchumi. Uchumi wa kuamua thamani (normative economics) hujihusisha na kubaini lililo zuri au baya kiuchumi.
Uchumi wa ustawi ni tawi la uchumi wa kuamua thamani unaotumia ustadi wa uchumi wa kiwango cha chini ili kubainisha kwa wakati huo huo ufanisi wa ugavi katika uchumi na ugavi wa mapato unaohusishwa nao. Huwa unajaribu kupima ustawi wa jamii kwa kuchunguza shughuli za kiuchumi za watu wanaobuni jamii.

Imeandaliwa na Mtangazaji wako Olais kwa ushirika wa Wikipedia