Je wajua kuwa wanawake wengi wanapenda kuolewa na wanaume warefu?
Hebu tafakari kama mumeo ni mfupi kupita usawa wako kama mwanamke????
Sasa hii inakuwa changamoto sana kwa wale wanaume wafupi kwa kuwa soko lao sasa linakuwa limepooza na kwa sasa wanaume wanakuwa hawaangaliwi kwa tabia au sifa za kumtunza yule anayetegemea kuwa mke wake...
sasa hebu jiulize kwa wale wanawake yule umpendaye umempendea tabia, sura au umbo lake au rangi yake??????
Kisha ukipata hilo jibu jiulize kuwa ni mtu wa msingi kwako na hata kama anaweza akakuchosha kwa tabia zake chunguza ni kwanini anakuwa nakufanyia hayo anayokufanyia???? na pia kama mumeo atakuwa anakusikiliza na kufuatilia watu ambao ni wazuri na wabaya kwako tambua fika kuwa huyu kamwe hawezi kukuchagulia marafiki bali anaweza kuwa jasiri wa kukutetea na kusimama katika baya lolote linaloweza kukutokea katika maisha yenu ya ndoa na kuanzia urafiki wenu......
Kwa wale wanaohitaji kuanza maisha ya mahusiano ni vyema kufanya tathmini juu ya maisha ya ndoa yako katika kipindi kijacho ila ukimpata usijaribu hata siku moja kuona kuwa suluhisho sahihi la tatizo lolote hata ugomvi ni chanzo cha ndoa na mapenzi bora katika maisha ya binadamu....
Labda nikupe mfano mmoja nawe ulitafakari kwa makini sana....
Kwa mfano... jamiii yetu ingelikuwa inayakimbia matatizo yake yenyewe kwa mfano kukosa maji watu wanagombana na hata hivyo kila mmoja analiona tatizo hili kamwe haliwezi kutatuliwa kwa kushikamana na kupelekea kukosekana kwa maji kabisa katika jamii ile lakini kwa akili za kibinadamu jamii inachangua mbinu mbadala ya kuweza kupata maji safi na salama kwa ajili ya wote na hapa ndipo utakaponikubalia ya kuwa kulikimbia tatizo siyo sulihisho sahihi la tatizo hilo kwa minajili hiyo hakuna sababu ya kutengana na mpenzi wako katika suala la mahusiano na pia kama utatengana naye utajikuta kuwa unachagua sifa za nje pasipo kuangalia sifa za ndani...
Kuna watu wanasema ficha makucha ili upate kula nyama lakini nakuhakikishia ndugu yangu kama ukaficha tabia yako halisi katika ndoa ndugu utapata kazi kubwa ya kutatua matatizo ya ndoa yako kwa kuwa ulificha ukweli halisi na tabia yako halisi na kumpa yule umpendaye shida ya kuanza kukutafiti na kujua kuwa wewe ni mtu wa namna gani na unaweza vipi kutatua matatizo ya familia yako na pia unamjali kiasi gani yule umpendaye kwa kuweza kumuonyesha ukweli halisi wa maisha yako na pia kuweza kutoa suluhu ya maisha ya ndoa na malezi bora kwa watoto wako.
Kama ukiangalia kwa makini tabia za mumeo utaweza kufanya tathmini halisi juu ya maisha mazuri ya ndoa na kama mumeo mtarajiwa hana wivu wa mapenzi yasiyo ya kupitiliza basi tambua ya kuwa kuna hali fulani ya kamtandao wa mapenzi....
Lakini hata kwa upande wa wanawake ukiwa hutaki mumeo akujue vyema juu ya ukweli wa maisha yako hakika ujue ya kuwa maisha yako ya ndoa yatakuwa magumu kwa kuwa mtakuwa mnagombana hata mbele ya watoto wenu na kupigana hadharani kwa kuwa kila mmoja atahitaji kuonesha kuwa yupo juu ya mwenzake....
Sasa ushauri mkubwa hapa ni upi ili tuwe na ndoa imara ambapo katika falsafa inaamini kuwa ndoa imara hujenga familia bora na familia bora hujenga nchi imara!!!! ni hivi ukiweza kuvumili yaliyopo katika uchumba wako na yule umpendaye na kumkubali jinsi alivyo na kuwa mkweli pale anapokuwa amekuudhi na kuweza kufikia muafaka katika migogoro midogomidogo na hapo ndo utaweza kupata furaha ya ndoa na utakuwa na amani maishani mwako mwote hebu jaribu kutanguliza moyo wa ujasiri, kusamehe, kusahau na kujishusha ndo utaweza kuwa na ndoa bora sasa hii ni kwa wote wawili mliopo katika mahusiano... msikubali daima kuwa na migogoro isiyofikia muafaka kwa kuwa hamtaweza kudumu katika maisha yenu ya mahusiano na pasitokee hata mmoja wenu akajitahidi kufanya ya kumuumiza mwenzie au kumpa maumivu kwa namna yoyote,,,,
ni matumaini yangu ya kuwa kwa kuweza kusoma ujumbe huu vyema na kuutafakari utakuwa umenufaika na kuweza kujua namna ambavyo utaweza kukaa au kuishi na pia kumpata mwenza wako kwa kuchunguza vya ndani na kuweza kufanikiwa kuwa na ndoa imara sana katika maisha yetu ya kila siku..,,,,
TUSHIRIKIANE KUIJENGA JAMII BORA NA FAMILIA ILIYO BORA KWA KUWA NA MALEZI BORA....
Usikose somo la MALEZI hivi karibuni kupitia blog yako hii ya Speak Out With Olayce

No comments:
Post a Comment