Advertise with us today here...

Reach your market today and expand your network and increase your profit....

Advertise with us today contact us via marketing@olais.co.tz | +255757599666

Vitenge Market

Vitenge Market
Vitenge market place offers you the best and quality vitenge just contact us today

SOWO - Online Market

SOWO - Online Market
Get new and used products online by visit our site everyday hit the link and get subscribed

Wednesday, 6 August 2014

Zambia yapata kocha mpya

Timu ya taifa ya Zambia imepata Kocha mpya, Honour Janza aliyechukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrice Beaumelle aliyeondoka mwanzoni mwa juma hili.
Rais wa Shirikisho la soka la Zambia Kalusha Bwalya amesema ni changamoto kubwa waliyonayo lakini wana imani na Janza.

Zambia iko kundi F na itaikaribisha Msumbiji tarehe 6 mwezi Septemba, kisha itaelekea Cape Verde siku nne baada ya mechi hio.Janza anakutana na kibarua cha kwanza katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika ya mwaka 2015.
Chipolopolo imefikia hatua ya kumtafuta mrithi wa Beaumelle baada ya mfaransa huyo kuamua kuungana na aliyekua kocha wa zambia Herve Renard ambaye kajiunga na Ivory Coast.

Bwalya amesema hana hofu kuwa Janza ambaye alikua Mkurugenzi wa ufundi ndani ya shirikisho la soka la zambia atamudu kuipeleka Zambia mbele.

Chanzo chetu; http://www.bbc.co.uk/swahili/habari

No comments:

Post a Comment